Event Yetu

Create your account

Join Event Yetu to plan, sell, and run unforgettable events.

Continue with Google

or

Tanzanian mobile number. Start with 255 then your 9-digit number.

Lazima ukubali masharti ya huduma kabla ya kuendelea.

MKATABA WA HUDUMA β€” EVENT YETU

1. HUDUMA

Event Yetu itatoa huduma za kadi za mwaliko za kidigitali, ujumbe mfupi wa SMS za taarifa na ukumbusho, pamoja na ubunifu wa event kulingana na makubaliano yaliyofikiwa na mteja.

2. MASHARTI YA MALIPO

Malipo ya awali ya asilimia 100% yatatolewa ili kuthibitisha booking ya huduma. Kushindwa kukamilisha malipo kunaweza kusababisha kutopokea huduma bila taarifa zaidi.

3. HUDUMA ZA ZIADA

Huduma yoyote ya ziada itakayohitajika nje ya kifurushi kilichochaguliwa italazimika kulipiwa mapema kabla ya utekelezaji wake.

4. UTHIBITISHO WA BOOKING

Booking itahesabika kuwa imethibitishwa rasmi baada ya kupokea malipo ya awali ya asilimia 60%.

5. MAKUBALIANO

Kwa kufanya malipo, mteja anakubaliana na masharti na vigezo vyote vilivyobainishwa katika mkataba huu.

6. SERA YA KUGHARIMIA KUGHAIRISHA (CANCELLATION POLICY)

Endapo mteja ataamua kughairi huduma baada ya kuthibitisha booking, masharti yafuatayo yatatumika:

  • Malipo ya awali ya asilimia 60% hayatakuwa ya kurejeshwa (non-refundable).
  • Endapo kughairi kutafanyika chini ya siku 3 kabla ya tarehe ya tukio, mteja atalazimika kulipa gharama zote zilizokwisha tumika au kuandaliwa kwa ajili ya tukio.
  • Event Yetu haitawajibika kwa hasara yoyote itakayotokana na kughairi kwa mteja.
Already have an account? Log in

© 2026 Event Yetu. All rights reserved.